Mshindi wa tuzo ya Oscar Lupita Nyong’o na Rihanna wataigiza kwenye filamu mpya ya ujambazi itakayoongozwa na Ava DuVernay (Selma) na kuandikwa na Issa Rae (“Insecure”). Filamu hii itakuwa chini ya kampuni ya Netflix.
Filamu hii imepata ushawishi mkubwa kutoka kwenye picha ya mwaka 2014 ya Rihanna na Lupita kwenye onyesho la mavazi la Miu Miu.
Blogger maarufu kwenye mtandao wa #Tumblr ‘Elizabitch Taylor‘ alipost picha hii nakuandika ‘They look like they’re in a heist movie with Rihanna as the tough-as-nails leader/master thief and Lupita as the genius computer hacker.”
Picha hii ilisamba sana mitandaoni na kupata NOTES 470,000.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni