Baada ya kufanya video na Jackline Wolper , msanii wa Bongo Fleva Engine ameweka wazi sababu za kuamua kumtumia Wolper kwenye kazi yake
Engine anasema “Wolper ni mwanamke jasiri, mwanamke anayejitambua , anajituma yuko fit kila idara, na ndio maana nikamfuata”,
Pia kuhusu kutumia SMS na Ex wa Wolper BROWN , Engine amesema “Sio kweli kwamba nimetumiwa SMS na Brown, mimi sinaga mpango na stori za mitandao ya kijamii, niko makini na kazi zangu”
Engine amegharamia promo kubwa kutoka kwa Wolper na waliweza kusafiri mpaka Moshi kufanya video ya wimbo wake mpya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni