Alhamisi, 5 Aprili 2018

UPENDO AUDIO _ YOUNG BALOO FT JOPISAL &NEY LEE

Sikilizaa Mzikii mzuriii kutokaa kwa Young Balo chini ya Broduza Mazuu Record  Subscribe YouTube channel Dj Amani TV uwe wa Kwanzaa kupata news mpyaa kisha bonyeza kengele

Jumamosi, 27 Januari 2018

BURUDANI Fat Joe amchana Rais Donald Trump kuhusu kugawanyisha Raia. .

Rapa na staa wa HipHop kutoka mitaa ya Bronx, New York  Fat Joe amesema yeye sio shabiki wa Rais Donald Trump.
Fat Joe ambaye wazazi wake wanatoka Puerto Rico na Cuba anasema >“Sisi ndio sauti za raia wa Marekani, lazima tuongee kwa niaba yao, hii ndio HipHop, Trump aliwakimbia watu wangu Puerto Rico, hivi karibuni amewatukana na kuwakosea heshima watu wa Haiti, amegawanyisha nchi”.
Fat Joe yupo studio akirekodi album yake mpya ya Family Ties, producer ni Dre, wa Cool & Dre, inasemekana Jay-Z atasikika kwenye album hii pia.

Jumapili, 21 Januari 2018

BURUDANIPicha, Mtoto wa Obama ‘Malia Obama’ kwenye mapenzi motomoto na mwanafunzi mwenzake Rory Farquharson,



Mtoto wa kwanza wa kike wa Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama ‘Malia Obama’ amepigwa picha tena akiwa na mpenzi wake ambaye ametajwa kwa jina kuwa ni Rory Farquharson, picha hizi zilipigwa mjini New York wakati wakifanya Shopping.

Rory Farquharson ni mtoto wa tajiri nchini Marekani, familia yao inaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Pound milioni £1.6, yuko mwaka wa pili kwenye chuo kimoja na mtoto wa Obama cha Harvard University, huko Cambridge.

Malia alijiunga na chuo hichi August 2017

Jumamosi, 20 Januari 2018

BURUDANI Engine azungumzia sababu za kumtumia Jackline Wolper kwenye kazi yake

Baada ya kufanya video na Jackline Wolper , msanii wa Bongo Fleva Engine ameweka wazi sababu za kuamua kumtumia Wolper kwenye kazi yake

Engine anasema “Wolper ni mwanamke jasiri, mwanamke anayejitambua , anajituma yuko fit kila idara, na ndio maana nikamfuata”,

Pia kuhusu kutumia SMS na Ex wa Wolper BROWN , Engine amesema “Sio kweli kwamba nimetumiwa SMS na Brown, mimi sinaga mpango na stori za mitandao ya kijamii, niko makini na kazi zangu”

Engine amegharamia promo kubwa kutoka kwa Wolper na waliweza kusafiri mpaka Moshi kufanya video ya wimbo wake mpya.

Ijumaa, 19 Januari 2018

Wema Sepetu Behind the Scenes of a very new Project... Ila kanyimbo ka l...

Atakachofanya Amber Lulu akiachwa na Prezzo i


Msanii wa muziki ambaye alijipatia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii, Amber Lulu, amekiri kuwa bado ana hisia za mapenzi kwa mpenzi wake wa zamani rapper Young D, licha ya kuwa na mtu mwengine kwa sasa.

Amber Lulu ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na rappper wa Kenya Prezzo, amesema Young D ni mmoja wa wanaume ambaye alikuwa na mapenzi naye ya dhati, na iwapo ataachana na Prezzo yupo tayari kurudi kwa Young D, kwani anaamini hata yeye bado anampenda ndio maana huwa anamfanyia vitu vya kumuumiza kama kupost picha zAke za utupu.
“Tulishakuwa pamoja kwa muda mrefu, kuna feelings fulani zipo sometimes munamisiana, unajua nilimpenda sana D lazima kukubali hili jambo, na najua bado kuna mapenzi kati yetu ndio maana hata yeye anafanyaga vitu vya kuniumiza kama kupost ile picha”, amesema Amber Lulu.
Amber Lulu amesema tatizo hilo limefikia hatua hata ya kurushiana vijebe mitandaoni kutokana na wivu uliopo kati yao, na wapo Young D ataamua kumpost mpenzi wake mpya, kitendo hicho kitamuumiza zaidi

Jumatano, 17 Januari 2018

#TANZIA Msanii joharii afiwaa na mama yake mzazi?

 Msanii wa filamu Tanzania Blandina Chagula maarufu kama Johari, amefiwa na mama yake mzazi hii leo.

Neno moja kwake kumpa pole

Jumatatu, 15 Januari 2018

Maneno ya Rais Magufuli baada ya kupata taarifa ya ajali iliyoua 11 Kagera

Leo January 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu kufuatia watu 11 kupoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Nyangozi, Wilaya ya Biharamulo.

Ajali hii imetokea  January 14, 2018 majira ya saa 11 jioni baada ya basi dogo la abiria aina ya Nissan Caravan lililokuwa likitoka Kakonko Mkoani Kigoma kuelekea Kahama Mkoani Shinyanga kuligonga ubavuni lori la mizigo kisha kugongana uso kwa uso na lori jingine na kusababisha vifo vya watu 11 na wengine 6 kujeruhiwa.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema JPM amepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Watanzania hao na amemtaka RC Kijuu kumfikishia pole kwa familia za Marehemu wote, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na vifo hivyo.

“Nimehuzunishwa na kusikitishwa sana na vifo hivi, nawapa pole wafiwa wote, ninawaombea marehemu wapumzike mahali pema na majeruhi wapone haraka ili waweze kuungana na familia zao na kuendelea na shughuli zao za kila siku”  -Rais Magufuli.

Rais Magufuli amewakumbusha pia watumiaji wa barabara hasa madereva kuwa makini na kuzingatia sheria za usalama barabarani na ameviagiza vyombo vinavyohusika kuongeza jitihada za kukabiliana na ajali za barabarani ili kuokoa maisha ya watu na mali zinazopotea kutokana na ajali.

MADHARA YA MWANAMKE KURUKWA UKUTA SOMA ZAIDI HAPA TAFADHALI NI HATARI

1.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.

2.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.

3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’. 5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
Sita, hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako.
Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile. Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.
TOA MAONI YAKO HAPA.

Jumapili, 14 Januari 2018

BURUDANIFilamu mpya ya Taraji P. Henson ‘Proud Mary’ imetoka kwenye majumba ya Cinema

Filamu mpya ya Taraji P. Henson ‘Proud Mary’ imetoka kwenye majumba ya Cinema nchi tofauti duniani ata baada ya studio iliyotayarisha filamu hii kupiga vita uzinduzi huu wakidai filamu haina viwango vya filamu kubwa. Wachambuzi wa maswala ya filamu hawakupata nafasi ya kutazama filamu hii kabla ya kupelekwa cinema, walibidi waende kuitazama Cinema ndio waandike kuhusu filamu ya ‘Proud Mary’. Wanasema “Filamu imetayarishwa kwa viwango vidogo ila ina stori nzuri ya kutazama”.

Jumamosi, 13 Januari 2018

CHEKI VIDEO YA MAGOLI MIKWAJU YA PENATI AZAM FC 4-3 URA . FAINALI MAPIND...

TAZAMA MACHALI WA ARUSHA WAKIWA KWENYE JUKWA

Picha ya Baba Mirinda

AUDIO | Suprize - Cone love Download LINK

Picha ya Suprize
AUDIO | Suprize - Cone love  Download LINK

Bongo fleva mixx step waka waka 2018

 Picha ya Dj Amani The Mixx Masters Tz
 Dawnload mixx step bongo fleva mpya 2018 yenyee ngoma Kali ni shidaaa

BURUDANIPicha, Bow Wow aweka wazi mahusiano yake na Model Kiyomi Leslie.

Mtangazaj, Mwigizaji na rapa Bow Wow  ameripotiwa kuwa kwenye mahusiano mapya ya mwanamitindo Kiyomi Leslie.
Bow wow na Kiyomi wameonekana pamoja kwenye uzinduzi wa show ya Tv ya “Growing Up Hip Hop Atlanta”

Diamond alivyowashinda Davido, Wizkid na 2face tuzo za Sound City MVP Nigeria

    Usiku wa January 12 kuamkia 13 2018 Lagos Nigeria zilifanyika tuzo za Sound City MVP 2017 Eko Hotel and Suite jijini Lagos na wasanii mbalimbali walifanikiwa kutangazwa washindi na jumla ya tuzo 14 zilitolewa katika event hiyo.

Muimbaji wa Bongofleva na CEO wa WCB Diamond Platnumz amefanikiwa kutangazwa mshindi wa tuzo ya(Best Male MVP 2017), tuzo hiyo Diamond alikuwa akiwania na wasanii wengine nane Davido (NG), Runtown(NG), Sarkodie (GH), Navio (UG), 2face Idibia (NG), Wizkid (NG), Shatta Wale (GH) na Olamide (NG).

List ya washindi wote wa tuzo za Sound City MVP 2017

MSANII BORA WA KIUME MVP

Davido (NG)
Runtown (NG)
Diamond Platnumz (TZ) – Mshindi
Sarkodie (GH)
Navio (UG)
2face Idibia (NG)
Wizkid (NG)
Shatta Wale (GH)
Olamide (NG)

MSANII BORA WA KIKE

Tiwa Savage (NG) – Mshindi
Niniola (NG)
Babes Wodumo (SA)
Simi (NG)
Becca (GH)
Seyi Shay (NG)
Yemi Alade (NG)
Bucie (SA)
VanesSA Mdee (TZ)

MSANII BORA WA HIP HOP

M.I Abaga (NG)
SArkodie (GH)
Cassper Nyovest (SA) – Mshindi
Olamide (NG)
Nasty C (SA)
Falz (NG)
Kwesta (SA)
Aka (SA)

MSANII BORA WA POP

Kiss Daniel (NG)
Tiwa Savage (NG)
Simi (NG)
Davido (NG)
Maleek Berry (NG) – Mshindi
Niniola (NG)
Wande Coal (NG)
Reekado Banks (NG)

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA

Particula – Major Lazer & Dj Maphorisa Ft. Ice Prince, Jidenna, Nasty C
Ma Lo – Tiwa Savage Ft. Wizkid
Tonight – R2bees Ft. Wizkid
Ma Girl – Toofan Ft. Patoranking
Akanamali – Sun El Musician Ft. Samthing Soweto
Telli Person – Timaya Ft. Phyno & Olamide
Pain Killer – Sarkodie Ft. Runtown – Mshindi
Booty Language – Skales Ft. Sarkodie
Juice – Ycee Ft. Maleekberry
Don’t Forget To Pray – Aka & Anatii
Na Wash – Becca Ft. Patoranking
Iskaba – Wande Coal / DJ Tunez
Love Again – C4 Pedro Ft. Sauti Sol

DIGITAL ARTISTE OF THE YEAR

Davido (NG)
Wizkid (NG) – Mshindi
Cassper Nyovest (SA)
Aka (SA)
Vanessa Mdee (TZ)
Yemi Alade (NG)
Shatta Wale (GH)

VIDEO BORA YA MWAKA

Ma Lo – Tiwa SAvage Ft. Wizkid (NG)
You Rappers Should Fix Up Your Life – Mi (NG)
Closer – Wizkid (NG)
Uok – Nasty C (SA)
10 FiNGers – Aka & Anatii (SA)
Whole ThiNG – Frank Casino & Riky Rick (SA)
Been CalliNG – Maleekberry (NG)
Kololo – Banky W (NG)
All Hail – Khuli Chana (SA)
If – Davido (NG) – Mshindi

KUNDI BORA LA MWAKA

Sauti Sol (KY)
Toofan (TG)
Mafikizolo (SA)
MicasA (SA)
Distruction Boyz (SA) – Mshindi
Vvip (GH)
R2bees (GH)
Navy Kenzo (TZ)

WIMBO BORA WA MWAKA

Penalty – Small Doctor (NG)
Wo – Olamide (NG)
Seduce Me – Alikiba
Qobisiqolo – Bhizer Ft Busiswa, Sc Gorna, Bhepepe (SA)
Gaga Shuffle – 2face Idibia (NG)
IF – Davido (NG) – Mshindi
Akanamali – Sun El Musician Ft. SAmthiNG Soweto (SA)
Mad Over You – Runtown (NG)
Closer – Wizkid (NG)
Joromi – Simi (NG)
Leg Over – Mr Eazi (NG)

MSANII BORA CHIPUKIZI

Maleek Berry (NG) – Mshindi
Mayorkun (NG)
Dice Ailes (NG)
Small Doctor (NG)
Nadia Nakai (SA)
Aslay (TZ)

VIEWERS CHOICE

Wo – Olamide (NG)
If – Davido (NG)
Mad Over You – Runtown (NG) – Mshindi
Living Things – 9ice (NG)
Yeba – Kiss Daniel (NG)
Iskaba – Wande Coal, DJ Tunez (NG)
Tonight – Nonso Amadi (NG)
Gaga Shuffle – 2face Idibia (NG)
LISTENERS’ CHOICE
Wo – Olamide (NG) – Mshindi
Gaga Shuffle – 2face Idibia (NG)
Nasty C –uok (SA)
Gobisiqolo – Bhiser (SA)
Mad Over You – Runtown (NG)
Maradona – Niniola (NG)
Yolo Yolo – Seyi Shay (NG)
If – Davido (NG)

PRODUCER BORA WA MWAKA

Maleekberry (NG)
Kidominant (NG)
Dj MaphoriSA (SA)
Masterkraft (NG)
Julz (GH)
YouNG John (NG) – Mshindi

MSANII BORA WA MWAKA

Sarkodie (GH)
Cassper Nyovest (SA)
Davido (NG) – Mshindi
Wizkid (NG)
Tiwa Savage (NG)
Shatta Wale (GH