Ijumaa, 15 Desemba 2017

Msikilize Diamond, Unaweza kujishindia Gari,Tv au Friji ukinunua Diamond Karanga December 2017

Diamond karanga inaeneza furaha msimuu huu wa krismasi kwa kukuzawadia zawadi kem kem kwa sh 300 tu. Unachotakiwa kufanya ni kununua pakiti yako ya Diamond Karanga na kutizama ndani ujionee bahati yako au kama vipi Jaribu Tena. #Tukutanesheli

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni