Jumatatu, 20 Februari 2017

Penzi la AKA na Bonang Matheba lavunjika…..



Rapa AKA ametangaza kupitia Twitter kuwa yeye na mtangazaji wa redio na TV, Bonang Matheba wameachana.
Hivi karibuni AKA na mpenzi wake huyu walikuwa wanakula bata nchini Thailandna baada ya kurudi bado palikuwa na picha kadha za mahaba yao pamoja,
AkA aliandika hivi “Sad to announce that myself and Bonang have broken up. We tried guys,” ikiwa ni mara ya pili AKA ana andika twitter kuhusu kuachana na Bonang.
Mwaka jana pia alisema hivyo lakinibaadae kufuta twit hio.
Bonang bado hajazungumza chochote kuhusu kuachana kwao ila twit ya pili ya AKA ilisema “Guys, Don’t ever love a woman more than she loves you. 💔.
JE ni kweli Bonang na AKA wameachana au KIKI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni