Ijumaa, 24 Februari 2017

VIDEO | G Nako & Jux - Go Low Watch/Download


VIDEO | G Nako & Jux - Go Low Watch/Download

AUDIO | Man Fongo - Nani Asiyependa | Download

wanapenda
AUDIO | Man Fongo - Nani Asiyependa | Download

VIDEO | Mimi Mars - Shuga | Watch/Download



VIDEO | Eddy Kenzo Jubilation



U-HEARD: “Huwezi ukaishi kimara ukajiita Rais wa Manzese”-Kitale


Msanii Kitale amenaswa leo february 24 kwenye U-heard ya Soudy Brouwn ambapo amewachana Madee na Nay wa Mitego kuwa waache waache kujiita marais wa Manzese wakati Kimara……..
>>>”Ney wa mitego anakaa Kimara na Madeee anakaa kimara ndani kabisa, wanaongopea watu wa Mazese, wakiona tu wanataka kutoa nyimbo lazima watafute kiki zisizo kuwa na maana, mtu kama Nay kila siku akitaka kutoa nyimbo anazungumzia Bongo Muvie tu, Madee akitaka kutoa nyimbo mara utasikia kagombana na mtu Uingereza”
Kwa upande wake Nay wa mitego ameyasema haya……>>> Mimi hivyo vitu sivijui ninachojua nafanya muziki wangu na watu wangu, hao watu wengine wakiongea wanajua wenyewe, labda kaona Movie haziuzi kaona aje huku mwambie atoe single”

Leicester City yamtimua kocha wake Claudio Ranieri


Uongozi wa klabu ya Leicester City umemtimua kocha wake Claudio Ranieri ’65’ ikiwa ni miezi 9 tangu aiongoze klabu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza.
Leicester imekuwa na msimu mbovu ikiwa imeshinda michezo 5 pekee, haijafunga bao lolote kwenye ligi tangu mwaka 2017 uanze na Pia wapo point moja na nafasi moja juu ya mstari wa kushuka daraja.
Kufukuzwa kwake kazi kumekuja saa 24 baada ya Leicester City kufungwa 2-1 na Sevilla kwenye Champions League.

Hizi Picha,Waliotaka kumwabudu Kanye West wapewa Sanamu yake….
























Mtengeneza sanamu maarufu mjini Las Angels ‘Ginger’ ametengeneza sanamu ya Kanye West iliyofananisha na picha ya Yesu Kristo.
Msanii huyu aliyetengeneza sanamu hi anasema sababu za kutengeneza na kuiweka wazi kwa watu ni kama njia ya kuonyesha matatizo aliyopitia Kanye West mwaka 2016 kuelekea mwaka 2017 kama Kulazwa hospitalini kwa matatizo ya akili, kumpa ushirikiano rais Donald Trump na kupondwa vikali na watu weusi kwa kukutana na Donald Trump.
Sanamu hii ni ya Plastic na mtengenezaji huyu anasema sababu zingine ni “Kutoa sifa kwa Kanye West kana Producer na mwandishi bora wa muziki ila watu wajue yeye sio Mungu na mpaka alipopata matatizo ndipo kila mtu akaanza kumtukana na kumkejeli, ni sawa na kama walimuweka kwenye msalaba, mambo kama haya tumeyaona yakifanyika kwa wasanii kama Britney Spears na Lindsay Lohan, watu hao hao wanaomuona yeyeni kama Mungu wao ndio baadae wanamtesa“.
















HATIMAYEE KITALE KUFUNDISHA BABA YAKE KULA UNGA

Image result for kitale comedy

TAZAMAA HAPAA ILIVYOKUWA

Jumatatu, 20 Februari 2017

Hii video ya Alikiba Ft M.I ‘Aje Remix’ itazame hapa…


Chini ya Sony Music Mtanzania Ali kiba ametoa video ya rekodi yake na mnigeria M.I  “Aje” Remix. Itazame hapa…. 

Penzi la AKA na Bonang Matheba lavunjika…..



Rapa AKA ametangaza kupitia Twitter kuwa yeye na mtangazaji wa redio na TV, Bonang Matheba wameachana.
Hivi karibuni AKA na mpenzi wake huyu walikuwa wanakula bata nchini Thailandna baada ya kurudi bado palikuwa na picha kadha za mahaba yao pamoja,
AkA aliandika hivi “Sad to announce that myself and Bonang have broken up. We tried guys,” ikiwa ni mara ya pili AKA ana andika twitter kuhusu kuachana na Bonang.
Mwaka jana pia alisema hivyo lakinibaadae kufuta twit hio.
Bonang bado hajazungumza chochote kuhusu kuachana kwao ila twit ya pili ya AKA ilisema “Guys, Don’t ever love a woman more than she loves you. ðŸ’”.
JE ni kweli Bonang na AKA wameachana au KIKI.

Hii video mpya ya Queen Darleen Ft RayVanny ‘Kijuso’ itazame hapa….

Miezi miwili baada ya rekodi yao kutoka , Queen Darlin na Rayvanny wametoa video ya colabo yao  ‘kijuso‘. Video imefanyika Tanzania.

Hii video mpya ya Queen Darleen Ft RayVanny ‘Kijuso’ itazame hapa….