Alhamisi, 20 Julai 2017

HABARI Alichoandika Diamond Platnumz kuhusu kifo cha mama yake Zari The Boss Lady

 Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametumia IG Yake kuweka ujumbe huu kuhusu Kifo cha mama yake ZARI  ambaye ni mama watoto wawili wa Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz>Mwenyez Mungu ailaze Roho yako Mahali Pema Peponi Amini….
Mama mzazi wa Zari amefariki  Asubuhi ya July 20 2017.